Thursday, July 16, 2015
Showing posts with label News. Show all posts
Showing posts with label News. Show all posts
Friday, October 3, 2014
HAPPY BIRTHDAY YA DIAMOND NA WEMA SEPETU
8:04:00 AM
| Posted by
Unknown
PAMOJA NA HAYO MSANII HUYO WA KIZAZI KIPYA ALISEMA ALITAMANI KUMPA WEMA SEPETUU VITU VINGI VINGI ILI KUONESHA UPENDO WAKE
PIA TREHE 2 OCTOBER PIA ILIKUA NI SIKU YA KUZALI YA NASIBU ABDULI NA MAMBO YARIFANA HUKU IKISINDIKIZWA NA WASANIII MBALI MBALI KAMA VILE KUNDI LA YAMOTO BAND NAO WALIKUWEPOOO
Wednesday, October 1, 2014
VIDEO YA RICH MAVOKO YA SISIMUA MASHABIKI NA KULETA GUNZO KILA KONA YA MTAA
1:48:00 AM
| Posted by
Unknown
MSANII WA KIZAZI KIPYA RICH MAVOKO AWAACHA ASILIMIA KUBWA YA WATU MIDOMO WAZI BAADA YA KUACHIA VIDEO YAKE MPYA KABISA INAYO ENDA KWA JINA LA PACHA WANGU YENYE VIGEZO VYA HALI YA JUU NA KUWAONESHA LIVE WALE WASANII WANAOTENGENEZA VIDEO NJE YA NCHI KUWA HATA HAPA KWETU TZ TUNAO MA VIDEO MAKER WA ZURI WENYE UWEZO WAKUTOA KAZI KAMA ZILE....
Tuesday, September 30, 2014
FISHCRUB & PURE DEEJAYS RELOADED
5:01:00 PM
| Posted by
Unknown
SIKU SI NYINGI KUANZIA LEO TEGEMEA KAZI KUTOKA KWA PURE DJ'S RELOADE KUPITIA (VEEJAY UNIQUE VENTURE FT LAMAR FISHCRUB) KAZI ITATAMBULIKA KWA JINA LA :- THE REFIX NON STOP MIXX .......
KAA TAYARI MDA WOWOTE KUANZIA LEO HII ONE LOVE FANS WA FISHCRUB + PURE DEEJAYS RELOADED........
MDPLANTTZ -- RNB ARTIST
4:33:00 PM
| Posted by
Unknown
MSANI WA KIZAZI KIPYA NA NI UPCOMING ARTIST AMBAYE YUKO VIZURI KATIKA RNB TEGEMEA MENGI KUTOKA KWAKEE NA KWA MAELEZO ZAIDI UNAWEZA UKA MFOLLOW KUPITIA INFOR ZAKE HAPO KWENYE COVER
Thursday, September 25, 2014
12:00:00 PM
| Posted by
Unknown
HII NDIO LIST MPYA YA MATAJILI WA AFRICA ANGALIA HAPA
Mtandao wa Forbes maarufu kwa kutoa taarifa kama hizi, umetoa list mpya ya matajiri 50 kutoka Africa na kuhusisha vyanzo vya pesa zao, umri wao pamoja na kiasi cha pesa wanachomiliki.List imeongozwa na Mnigeria Aliko Dangote (kwenye picha hapo juu) na mtanzania wa kwanza ameonekana kwenye namba 27 akiwa na utajiri wa dola bilioni moja. Cheki list yote hapa.
Watanzania hawa wanne ni Rostam Aziz kwenye namba 27, Reginald Mengi namba 34, Bakhresa namba 38 na Mohammed Dewji namba 38.
TUNDA MAN AFUNGUKA!
11:48:00 AM
| Posted by
Unknown
kupitia kipindi cha Mtu Kati, Tunda alisema kuwa hafikirii hata mara moja kama atakuja kutoka kimapenzi na staa huyo kwa kuwa watakuwa wanapishana kwenye baadhi ya mambo.
“Wema ni rafiki yangu kama walivyo marafiki wengine lakini kitu kikubwa sitamani kabisa aje kuwa mpenzi wangu kwa sababu tutakuwa tunapishana katika baadhi ya mambo na hizi ngumi ninazocheza nahisi nitampiga mpaka nitauwa,” alisema Tunda Man












